Ww mgeni sana na US kumbe. Hadi leo huwajui US wakoje, subiri uone, US awe rafiki na Iran, hiyo ni lugha ya kuwavuta karibu na kuwamalizia mbali. Mbona huelewi lugha ya vita ww
Iran hawezi kuunda urafiki na USA.
Anawatambua wazi hata Hassan Rouhan alisema kuwaambia wazi wananchi wake wamagharibi ikiwemo Marekani si watu wakuwaamini ni mashetani ya kutupwa.
Usitegemee Iran ilainike iingie urafiki na US kma Iraq sahau hilo.
Iran keshajipanga kuwa muda wowote kitanuka na hii vita inaweza ikapoteza usuper power wa US maana itaathiri uchumi wa Marekani kwa kiasi kikubwa.
Sidhani maana huko kwao tayari yameshapanda. au isije kuwa ndio kafanya tukio ili auze reserve yake maana inawezekana matenki yake yamejaa alafu hana pa kuweka yale anayoiba Libya
Saudi Arabia inajiaibisha sana eti waziri wa ulinzi wa nchi unakaa mbele ya television unalialia eti Iran ametushambulia huku ukionesha mabaki ya silaha hii ni aibu kubwa sana.
Kama waziri wa ulinzi unalialia wananchi wa kawaida wafanyaje??