Nawaunga mkono saudia coz mashia ni bidaa na kila bidaa amekula hasara thn hawa ndo wanaoanzisha vi2 ambavyo uislam hauvikubali
Inachokifanya Saudia na UAE huko Bahrain ni kile ambacho USA wamekifanya kwa kuivamia Iraq,Afghanistan,Vietnam n.k..kama Saudia wasipokuwa makini itakula kwao maana Iran hawatavumilia kuona Washia wenzao wakionewa bila sababu ya msingi. Nadhani unajua jinsi gani Wairan wamekuwa mstari wa mbele kuifanya Iraq iwe ilivyo baada na kabla ya Sadam......kamchezo wanakotaka kucheza Saudia ni ka hatari lakini wacha tusubiri..time will tell...sitegemei tena kusikia Waislam wakilaani US kuvamia nchi nyingine maana Saudia nao wameanza haka kamchezo ka hatari
hii kweli mkuusuppose iran start war with saudia who do u think will win? saudia has the largest and modern army than all other arab countries with state of the art equipment from us! may b us will want that to happen to destroy iran as you know they are just looking for excuses!
Iran's Majlis (parliament) Speaker Ali Larijani has warned that regional countries will pay the price for their "US-backed" military intervention in the popular revolutions of the region.Hapo sasa kuna uwezekano mkubwa na Iran wakaingilia.
Inachokifanya Saudia na UAE huko Bahrain ni kile ambacho USA wamekifanya kwa kuivamia Iraq,Afghanistan,Vietnam n.k..kama Saudia wasipokuwa makini itakula kwao maana Iran hawatavumilia kuona Washia wenzao wakionewa bila sababu ya msingi. Nadhani unajua jinsi gani Wairan wamekuwa mstari wa mbele kuifanya Iraq iwe ilivyo baada na kabla ya Sadam......kamchezo wanakotaka kucheza Saudia ni ka hatari lakini wacha tusubiri..time will tell...sitegemei tena kusikia Waislam wakilaani US kuvamia nchi nyingine maana Saudia nao wameanza haka kamchezo ka hatari
you are right-lakini Sadam alifanya mistake ya kuivamia Kuwait bila kujua ingem-cost kiasi ganiUvamizi wa Merekani Iraq usingekamilika kama si kwa msaada mkubwa Saudia. Wa mali na ardhi za kuanzishia/kuendeleza mashambulizi ya uvamizi.
Saudi + Israel + USA = 1
Naona mmekwenda mbali sana kutabiri matatizo ambayo hayapo.suppose iran start war with saudia who do u think will win? saudia has the largest and modern army than all other arab countries with state of the art equipment from us! may b us will want that to happen to destroy iran as you know they are just looking for excuses!
sikujua kama osama ni shehe-KWELI Iran wapo vizur kijeshi kuliko saudi-ila tofauti iliopo ni kwamba Irani ina vifaa vingi vya za zamani-eg.ina ndege f-14 TOMCAT-ambazo pia walipewa na U.S.A enzi hivyo wakiwa partners-lakini Saudi wana state of art equipments-ambazo zpo vizur zaid ya hizo za Iran-il kwa factor ya quantity-Iran wapo vizuriNaona mmekwenda mbali sana kutabiri matatizo ambayo hayapo.
Wachoganishi wakubwa ni Marekani,Uiengereza na Ufaransa.Hao kwa vile sasa hawajiwezi sana, wala hakuna vita hapo kati ya Saudia na Iran.
Iran wana vifaa bora zaidi na ufundi kuliko Saudia lakini hawawezi kujitosa katika vita kirahisi kiasi hicho kwani huko kwake mambo kila siku ni tete.Wasaudia wana takataka nyingi za kivita kutoka Marekani lakini hawana jeshi la maana.Huoni hata hilo jeshi lililopelekwa Bahrain liko kwenye magari ya viyoyozi.Kama si Wamarekani kuwashika mkono wasaudi sheikh wangu Osama bin Laden angelikwisha wafukuza wafalme kutoka mahekalu yao.Sasa iwapo watajitosa kwenye vita visivyo vya lazima na Iran kuhusiana na Bahrain sheikh Osama atasubiri fursa tu Wamarekani warudi nyuma baada ya kuelemewa na mizozo kila kona ya dunia ili waingie ikulu ya Saudia.
Hivyo wafalme inabidi watumie bongo zao vyema katika hili.