Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Saudh Arabia kwa miaka mingi ndio taifa kubwa katika uzalishaji wa mafuta duniani. Miaka ya hivi karibuni nchi nyingi duniani zimegundulika zina hazina kubwa za mafuta duniani na hii ilipelekea bei mafuta kushuka toka dola 120 kwa pipa moja mpaka kufikia dola 35 kwa pipa.
Nchi za Yemen na Somalia zinautajiri mkubwa wa mafuta na gesi kwahiyo Saudh Arabia haikutaka kuiona nchi hizo zikichimba mafuta, huko Somalia kikundi cha Alshabaab inasemekana kinafadhiliwa na Saudh Arabia ili nchi hiyo isiwe salama na uchimbaji wa mafuta usifanyike, hawa magaidi wa Alshaabab wanapewa fedha nyingi sana ili kuendesha vita dhidi ya serikali. Na huko Yemen serikali ya Saudh Arabia ikishirikiana na askari kutoka Pakistani na Sudan wanaendesha vita vibaya dhidi ya nchi hiyo ya Yemen toka mwaka 2014 ambapo zaidi ya raia 15000 wasiokuwa na hatia wameuawa.
Serikali ya Marekani na washirika wake wamefumbia macho vitendo vya kigaidi vinavyoendeshwa na Saudh Arabia kwasababu sehemu kubwa ya silaha za Saudh Arabia zinanunuliwa kutoka Marekani.
Vikundi kama Talaban na Alqaeda vyote vimeasisiwa na Saudh Arabia, kati watekaji ndege zilizotumika kwa shambulio la 911 magaidi 19 walikuwa raia wa Saudh Arabia.
Kwa kumaliza Saudh Arabia ndio mfadhili mkubwa wa ugaidi duniani.