Good.Hatimaye SAU nao wamefungukaChama cha Sauti ya Uma-SAU kimesema kimeshtushwa na uteuzi wa Mkiti wa NCCR James Mbatia kuwa mbunge,uteuzi uliofanywa na Mkiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete.
mtamwadhibuje funguka zaidi??Hilo kila mtu analijua halina mjadala' NCCR ni ccm 'C' baada ya CUF kukubali kuwa CCM 'B', pale hamna chama tena. Mbatia ni jirani yangu kule kijijini kwetu Kirua Vunjo lakini kwa ndoa hii tutamwadhibu ipasavyo.
Hilo kila mtu analijua halina mjadala' NCCR ni ccm 'C' baada ya CUF kukubali kuwa CCM 'B', pale hamna chama tena. Mbatia ni jirani yangu kule kijijini kwetu Kirua Vunjo lakini kwa ndoa hii tutamwadhibu ipasavyo.
siasa za Bongo, du! Yaani Kyala anategeshea naye asemwe kama Wenje...
Aidha anasahau kwamba watanzania wanakumbuka jinsi mwaka 2005 yeye akiwa mmoja wa wagombea urais, badala ya kutangaza sera zake akawa anampigia kampeni JK. Kwa kitendo hicho yeye alidhihirisha wazi u ccm-sau wake.
Mosses Machali sijui atahaidi nini, kama kauli ya Wenje alisema Wenje asipoifuta kauli na CDM kuomba msamaha atajiuzulu nyazifa zake zote ikiwemo nafasi yake ya ubunge wa Jimbo la kasulu mjini, kwa inavyoonekana yeye ndiye atakayelazimika kufuta kauli zake.
Wote ni vibaraka wa magamba kasoro makamanda wa ukweli CHADEMA
Kama nilivyosema, hata kuitana vibaraka ni siasa za bongo; mfitini huyu, mchafue yule, wakejeli hawa, gombana na wale, sera za kuendeleza nchi hamna.Kwa hiyo yeye na Mbatia wote ni vibaraka?