I Izzo G JF-Expert Member Joined Aug 14, 2012 Posts 414 Reaction score 62 Aug 27, 2013 #1 Habari zenu wadau me nauliza size gan ya dish unaweza tumia kufunga hii satellite? Vp kuhusu dish la futi sita unaweza set vp kuipata hii satellite? Badr6
Habari zenu wadau me nauliza size gan ya dish unaweza tumia kufunga hii satellite? Vp kuhusu dish la futi sita unaweza set vp kuipata hii satellite? Badr6
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Aug 27, 2013 #2 umepitia vizuri uzi wa jifunze kufunga dish la satellite mkuu?