Satellite (ISS) itapita saa ngapi leo Dar es Salaam?

Squidward

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
7,549
9,040
Habari zenu wajuvi.

Nataka kujua kile kifaa ISS kinachomilikiwa na watu weupe NASA leo kitakatiza mida ya saa ngapi nataka nikione live.

ISS-Orbit2.jpg
o.jpg
 
Mwezi wa sita sijui ni lini inaweza onekana tena maana kila baada ya dakika 90 inamaliza kuzunguka dunia.
Mbona hapo naona kuna tarehe 30 na 31 ya mwezi wa 5 mida ya saa 4.44 sijui na 5.36... Na tare 1 mida ya saa 5.26
 
Ndio, sikuangalia Kama huu mwezi kuna tarehe zingine itapita. Ila kikubwa jamaa aamke hiyo alfajiri na asichelewe maana hakichukuwi mda mrefu kuonekana kwa sababu ya spidi.
Vp WW image take uliionaje mkuu kana hio haoi juu ama Uliona kana ndege inawaka taa angani kwa mbaliiii.
 
Kinaunguka dunia nzima for 90 mins ? Kina kasi gani hicho chombo kipo huko juu kwa ajili ya nini? Kinachora ramani au kinadukua?
 
Ukishakiona kinakuingiza sh.ngapi..

Labda nisimjibie mtoa mada nijibu kwa upande wangu, binafsi napenda Sana Mathematics na huwa nataka nijue ni namna gani naweza apply maarifa niliyojifunza kwenye uhalisia, huwa najaribu kufanya Mimi mwenyewe calculations kwa kutumia concepts za ellipse kujaribu kujua location ya ISS nikimaliza huwa naangalia Kama kina uhalisia na calculation ninazifanya. Kwangu ni sehemu tu ya kuongeza maarifa hasa kwenye hesabu.
 
Back
Top Bottom