Satellite dish

Mwanyasi

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
7,955
Reaction score
7,112
Wakuu naomba msaada kwa install settings kwenye satellite dish aina ya Media com, zilikuwemo lakini zimefutika zote na sasa inaniandikia NO PROGRAM, yaani kuanzia setting za satellite
(Hotbird 13E).
LNB Type..............
Freq1....................
Freq2....................
LNB Power............
22K.......................
DiSEqC..................
Positioner..............
 
Dr. Satellite ndo mitaa yako hii, saidia jamaa.
Siku hizi ni kama sikuoni oni kijiweni vile.
 
Dr. Satellite ndo mitaa yako hii, saidia jamaa.
Siku hizi ni kama sikuoni oni kijiweni vile.

Mshawishi mkuu aje, sipati habari zaidi ya hapa jf
 

Siidhani kama unaweza kupata jibu unalotaka, mimi ningekupa setting zangu lakini nadhani tunaweza kutofautiana na mazingira kwa sababu tupo sehemu tofauti, jaribu tu kucheck kwenye setting yako angalia tu namna ya kufanya hapo!!
 
Sasa sisi ambao hiyo ndokazi yetu tule kwa ugumu??kama vp nipm nakama huko dar sema nije nikuunganoshie ulete mpunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…