EL MAGNIFICAL
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 938
- 125
kuna wanafunzi wa chuo flani walikua na pepa cku ya jumatatu sasa jana yake jumapili walienda club !
wakiwa club walilewa sana kiasi kwamba juma3 wakachelewa kwenye pepa kabisa !
ikabidi wamfate mwalim wao na kumueleza kuwa jana jumapili walikua kwenye harusi hivyo wanamuomba awapangie cku nyingine ya pepa !
mwalim akakubali na kuwambia pepa itakua juma4.
ilipofika juma4 ticha alimuweka kila mwanafunzi ktk chumba chake na kuwapa mtiani very simple !
maswali yalikua kama ifuatavyo :-
1. bwana harusi anaitwa nani !
2.harusi ilifanyikia ukumbi gani ?
3. B.harusi alikuaje mrefu au mfupi ?
4.bwana harusi ni mweupe mweusi ?
5.ukumbin mlitoka saa ngapi !
ebwanaeeee ! ilikua full kuchanganya habari !
je ungekua mmoja wapo ungefanyaje !!!!!
hivi siku hz club ndio watu wanafungia ndoa? Naombeni mnijuze jamani, ushamba na uzee wangu huu, mambo inawezekana yamebadilika sana.
Hiko chuo ni hv vya kwetu vya st. Kanumba? Maana u can discuss the test na hukufanya, inamaana hata matokeo mnaweza discuss. Na hao lecturers hawana ratiba? Wanamuda mwingi sana....
Hapo mkitofautiana imekula kwenu!
bwana novatus watu wengine hawadanganyiki mzazi !!!!!!!!!!!!!ama kweli huyu ni ticha wa ukweli
Mi mwenyewe sijawahi kuiona, thnx mkuu, mbavu zimetingishika jion hii
Hapo ni balaa maana majibu yataonesha uongo mtupu.
copy n paste,toa yako na mpya!
sikuwahi kuiona asante mkuu
Mkuu is it copy and paste this has been here before