Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,505
..., kama kawaida yenu, mnajua kucheza sana na akili za watu hawa, mnatambua wanataka nini kwa wakati gani..., yaani kwenye mjadala wa bajeti (yenye makali na uchungu) ndio mnaleta taarifa ya kama ya pili ya 'Makinikia'.., najua, mikakati ya kisiasa ya namna hii Mara zote hukomba fikra za wale wasiofikiri vyema.., tunaendelea kuhamisha mijadala yetu ovyo-ovyo tu...,
let's stick with th budget, hizo kelele za Makinikia ni kama kujitekenya na kucheka wenyewe.., mwisho wa mchezo tunamtafuta mmoja wa kumtoa Kafara, washangiliaji-washangilie.., kama kweli wako 'serious' wapeleke mikataba bungeni iwe reviewed na bunge upya, sheria na sera za madini ziboreshwe upya na wahujumu uchumi wafikishwe mahakamani (waliotia saini mikataba hiyo ya awali)....,
NB; mnataka tuangalie uwasilishaji wa taarifa ya kamati mubashara wakati bunge la wananchi mmegoma kuonesha mubashara.., au mnapenda kutuonesha ambavyo ninyi mnapenda kutuonesha!? Kumbe shida sio kufanya kazi tena, shida sio Hapa Kazi Tu.., shida sio gharama za mubashara.. Kumbe shida ni kipi kioneshwe mubashara 'laivuuu'.., basi sasa tumeelewa!