J JF2050 JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 2,085 Reaction score 45 Sep 22, 2013 Thread starter #21 mimi49 said: Mhhhh!!!Halafu wewe!!Sio kila ugonjwa una dawa lol....Mengine unaichallenge immune system ifanye kazi yenyewe au itadorora!! Click to expand... Hata huo ugonjwa umetokea for a reason, ili dawa yake uje kuchukua kwangu!
mimi49 said: Mhhhh!!!Halafu wewe!!Sio kila ugonjwa una dawa lol....Mengine unaichallenge immune system ifanye kazi yenyewe au itadorora!! Click to expand... Hata huo ugonjwa umetokea for a reason, ili dawa yake uje kuchukua kwangu!
J JF2050 JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 2,085 Reaction score 45 Sep 22, 2013 Thread starter #22 mimi49 said: Sawa nimekuelewa rafiki!Ni wazo zuri!!The problem will be accomplishing the whole ideology!! Click to expand... Ni mchakato tu ndio utakaowawezesha.
mimi49 said: Sawa nimekuelewa rafiki!Ni wazo zuri!!The problem will be accomplishing the whole ideology!! Click to expand... Ni mchakato tu ndio utakaowawezesha.
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 6,066 Reaction score 7,552 Sep 23, 2013 #23 Simplicity. said: Mkuu kuna wanawake wa hivyo halafu ni warembo haswaa. Ila usimsimange. Click to expand... Nikweli mkuu, mpaka sasa nina mtoto 1, sina mpango wa kuoa kwasassa ila baadae nitatafuta mdada wa aina hiyo 4life.
Simplicity. said: Mkuu kuna wanawake wa hivyo halafu ni warembo haswaa. Ila usimsimange. Click to expand... Nikweli mkuu, mpaka sasa nina mtoto 1, sina mpango wa kuoa kwasassa ila baadae nitatafuta mdada wa aina hiyo 4life.