Kwa hiyo mtu akisema kwamba kuna tatizo la ajira Tanzania, na kwamba serikali iliyopo madarakani haifanyi jitihada zozote za maana kutatua tatizo hilo ni pumba?
Kama Lowassa ni visionary hao visinary leaders kama Nyerere watakuwa nani? Hata kama mnalipwa hayo mabaki ya ufisadi basi jaribuni kutumia akili zenu. Sifa inayomfaa ni fisadi na fisi finish.
naamini hata ulichokipost hujui maana yake, kiujumla umekurupuka!
Umetumwa kuja kumsafisha eeeeh! Richmonduli umesahau??
Matatizo yapi yapo validi?Tatizo la ajira ni kwa wote. Lakini kwa sababu ya various factors, waislam wamekua affected disproportionaly. Kuna baadhi ya madai yao ni valid. Hayatatuliki kwa kutupiana lawama na kupigana virungu [ kwa pande zote mbili] bali kwa kukaa chini na kuyaongelea.
Wapo nyuma kielimu, kwa sababu mbalimbali za kihistoria, zinatakiwa juhudi za makusudi kuinua elimu katika shule za kiislamu kuhakikisha kuna qualified teachers, labs , computers na mambo kama hayo. Kuwapa chuo cha TANESCO was a start.Matatizo yapi yapo validi?
"Ameongea kwenye majukwaa, mashuleni hata vikao vya ndani ya CCM."
Jukwa gani ulishamwona EL kasimama kuhutubia? Labda sema aliongea huko monduli na kanisani tutakuelewa!
Lakini ajue kuwa huo ufisadi anao upioneer unakwamisha juhudi zozote za kupatikana ajira, hata yeye analifahamu hilo kuna uhusiano wa karibu sana kati ya ukosefu wa ajira na ufisadi.
Anyways, EL aliliona
hili mapema na alilisema mapema. Angekua kwenye power haya yasingetokea.
Serikali ya sasa imefanya juhudi za kichekesho za kuinua kiwango cha
ajira nchini, mfano ni Kilimo Kwanza.
yeye amesaidia vipi licha ya kuwa na nafasi kubwa nchi hii zaidi ya kutukamua watanzania na ufisadi wake wa kupindukia..hivi tatizo la ajira una hitaji prof kulitambua hilo..
acha upuuzi wewe?