Mzee wa Masauti
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 2,199
- 2,514
Tatizo ni magufuli kivipi? Any way utajificha kwenye kivuli cha kutokamilisha jina ila dhamira yako inaonekana wazi unakusudia nini!
MTU alaumiwe kwa lawama za dhahiri sio mihemko ya matukio na hali bei ya sembe inapaa tatizo ni magufuli sawa na siku mkisikia vifaru vya adui vinaikaribia nusu ya nchi tokea upande wa adui mtamlaumu nani kama mpk sembe mnamlaumu magufuli mwacheni huyu mzee apige kazi kuna mambo ya kumnyoshea kidole yeye moja kwa moja ila mengine hapana baada ya miaka mitano tutampima tena ila kwasasa anafanya vema labda kwenye Uhuru wa kutoa maoni hapa ndio anapokosa kredit ila mengine hapana tuwe wazi.
Mkuu tukio gani hilo!! Au ni ile ndoto ya yule Mh. wa MP!!?[emoji2] [emoji2]Bado tunasubiri tukio moja tu zuri litakalo trigger utamu
Tatizo ni Magufuli
Wewe alikuongezea annual icrement yako au unajitoa ufahamu,vipi umepanda daraja,utakuwa kichaa wewe.Tatizo ni magufuli kivipi? Any way utajificha kwenye kivuli cha kutokamilisha jina ila dhamira yako inaonekana wazi unakusudia nini!
MTU alaumiwe kwa lawama za dhahiri sio mihemko ya matukio na hali bei ya sembe inapaa tatizo ni magufuli sawa na siku mkisikia vifaru vya adui vinaikaribia nusu ya nchi tokea upande wa adui mtamlaumu nani kama mpk sembe mnamlaumu magufuli mwacheni huyu mzee apige kazi kuna mambo ya kumnyoshea kidole yeye moja kwa moja ila mengine hapana baada ya miaka mitano tutampima tena ila kwasasa anafanya vema labda kwenye Uhuru wa kutoa maoni hapa ndio anapokosa kredit ila mengine hapana tuwe wazi.
Kutopata annual increment yeye ndio ameleta,wewe ni kichaa.Kuna watu msipobadilika mkiwa vijana uzeeni kwenu mtakuwa wachawi haiwezekani kila kitu Magufuli huu ni upepo tu utapita maana kabla ya Magufuli haya matukio hayakuwepo ? Jibu ni kuwa yalikuwepo kwa mazingira tofauti
Nipo Makete mkoani Njombe.Haya weka details zako
Kaza Baba mpk maji tuseme mma. Tuliipenda wenyewe!
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji87] [emoji87] [emoji87]9. Mkutano wa CCM wafanyika Ikulu
10. Msemaji wa jeshi aula CCM
Ushapata ukuu wa mkoa mkuuTatizo ni magufuli kivipi? Any way utajificha kwenye kivuli cha kutokamilisha jina ila dhamira yako inaonekana wazi unakusudia nini!
MTU alaumiwe kwa lawama za dhahiri sio mihemko ya matukio na hali bei ya sembe inapaa tatizo ni magufuli sawa na siku mkisikia vifaru vya adui vinaikaribia nusu ya nchi tokea upande wa adui mtamlaumu nani kama mpk sembe mnamlaumu magufuli mwacheni huyu mzee apige kazi kuna mambo ya kumnyoshea kidole yeye moja kwa moja ila mengine hapana baada ya miaka mitano tutampima tena ila kwasasa anafanya vema labda kwenye Uhuru wa kutoa maoni hapa ndio anapokosa kredit ila mengine hapana tuwe wazi.
Lipi hilo Mkuu?Bado tunasubiri tukio moja tu zuri litakalo trigger utamu
Usisahau wa primary wote hakuna ajira11. walimu wa sanaa hakuna ajira.