Lipa Kwanza
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 229
- 28
ulitaka kufaidi zaidi mmwage mazima
tena atafaidi zaid akimmwaga af akamkuta na msure mwingine mkali zaid kuliko yeye
Alikua mkali
sana,hasira kali,hapigi simu hata nikimpa salio...kwa kifupi alikua
ananitafuta tu wakati akiwa na shida.Sasa akiomba salio namweleza
sina,akiuliza mbona simpigii namweleza nipe salio,akinipa
namweleza nilikua na deni salio limechukuliwa akipiga namwambia
subiri ntakupigia sipigi.....Sasa heshima imerudi..ninyi
wana JF heshi ya pendo Ikipotea
mnairudishaje?...nipeni maarifa zaidi.....