jembepori
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 618
- 193
Tukikumbuka uongozi uliopita wa profesa ulipita na mambo yake mengi.Ulikuwa uongozi usiojali wataalam hata kidogo,yaani serikali iliongozwa kwa utashi wao tu na si taratibu ama ushauri wa kitaalam.Ni uongozi uliokuwa wa kibabe na kitishia watu tu (mkumbuke mh. Wassira), ulifuata yale uliyoyataka tu na si vinginevyo.
Wale waliopingana nao walikiona cha mtema kuni(kumbuka ya Ulimboka).Ni watu walioishi kiswahili swahili hivi huku wakitaka mambo yao yaende basi.
Kila idara ikijaa ubanaishaji mpaka Ikulu ikawa na email ya google!, Dah kweli hawa jamaa walikuwa weupe.
Sasa ameingia tingatinga hajafanya kazi kwa muda kiiiiivyo lakini nionavyo kuna ka mwanga fulani ka kutumia mawazo ya kitaalam kwenye hii serikali.
Tunaanza kuona sheria na taratibu zikitekelezwa (hata kama zinatuumiza), na kwa stail hii ni kazima nchi itasonga mbele kimaendeleo.Tunamuombea kwa Mung JPM aendelee na moyo huu.
Mungu ibariki Tanzania.