matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,590
- 15,385
smart and humble.The guy is smart sio wale kina pilipili sijui watu huwa wanacheka nini yaani nikiwaona nazima runinga kabisa
Kweli movie ya kirungu mzee wa bangalooo aliitendea hakismart and humble.
anajua maisha ya kawaida hivyo hata akiigiza maigizo au vichekesho vyake vinaakisi uhalisia.
kama ile movie "mzee kirungu" hata majuto kafunikwa.
akiweka vizuri package zake anatoka mkuu.nafasi ya Majuto hawezi chukua mtu kama hayo na hakuna wakuichukua
Majuto anaigiza kwa sauti yake halisi na unacheka, akilia unacheka, akitembea unacheka, akiongea unacheka, akicheka unacheka, majuto anavaa kawaida tu na unafurahi. Brother K hizo package hana na hatakuanazo
Na katika mahojiano ya mwisho ya marehem majuto nakumbuka aliulizwa swali kuwa:ni mwigizaji gani unamkubali katika sanaa ya maigizo ambayo unaamini anaweza kuchukua mikoba yako:kwa kweli mzee majuto alimtaja huyo braza k.tena akasisitiza sana kuwa sanaa anaiweza na akiendelea hivyo atatoka
Huyu jamaa japo hana muda mrefu kuliko hata wale wachekeshaji wa mizengwe, kwa mtazamo wangu ndiyo mchekeshaji pekee aliobaki mwenye uswezo wa kuvaa viatu vya mzee majuto.
hakuna cha
Jotii, mkandamizajo, mpoki, mkwele wana nani.
Brother K, kaza uzi fanya maboresho ututoe wabongo kwenye ulimwengu wa vichekesho.
asante mkuu.Na katika mahojiano ya mwisho ya marehem majuto nakumbuka aliulizwa swali kuwa:ni mwigizaji gani unamkubali katika sanaa ya maigizo ambayo unaamini anaweza kuchukua mikoba yako:kwa kweli mzee majuto alimtaja huyo braza k.tena akasisitiza sana kuwa sanaa anaiweza na akiendelea hivyo atatoka
aweke vizuri vipi wakati yeye amekuja na Identity yake, ndo hiyo ambayo imemfanya wewe umjue na umlinganishe na king majuto mkuuakiweka vizuri package zake anatoka mkuu.
kwanza ni mvuto kwa watu hayo mengine ni maboresho tu.
huyu jamaa akitoka futuhi inakufa.
Well said, wale jamaa they try so hard kua wachekeshaji lakini hawana kipaji hichoThe guy is smart sio wale kina pilipili sijui watu huwa wanacheka nini yaani nikiwaona nazima runinga kabisa
Aminasante mkuu.
wanatumia nguvu nyingi mnoo.Well said, wale jamaa they try so hard kua wachekeshaji lakini hawana kipaji hicho
Kwangu wachekeshaji Africa ni watatu tu
1.brother k 2.leon schuster (mr bones) na kansiime Anne
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye humble nakubaliana na wewesmart and humble.
anajua maisha ya kawaida hivyo hata akiigiza maigizo au vichekesho vyake vinaakisi uhalisia.
kama ile movie "mzee kirungu" hata majuto kafunikwa.