Inasemekana benki kuu hakuna hata senti tano iliyobakishwa kwani kuna mfanya biashara maarufu aliyekuwa akihitaji fedha zake Kwa ajili ya kuendesha shughuli zake ikiwemo kulipia mzigo wake uliokwama bandarini kaambiwa hakuna hata mia hivyo asubirie kama CCM ikishinda atarejeshewa fedha zake kwani fedha nyingi za watu zilizokuwa benki kuu CCM wanazitumia kufanya kampeni na kuhonga watu.
Nawaasa CCM kuwa makini na fedha za watanzania wasizifanyie masikhara LA sivyo wataipeleka nchi pabaya.
Mwigulu na wenzenu wenye uchu wa kuendelea kutawala nchi kimabavu huku mkitumia Mali za watu kujipatia madaraka kuweni makini.

Aisee!! Mkapa kweli hakukosea kuwaita malofa daah!!.Inasemekana benki kuu hakuna hata senti tano iliyobakishwa kwani kuna mfanya biashara maarufu aliyekuwa akihitaji fedha zake Kwa ajili ya kuendesha shughuli zake ikiwemo kulipia mzigo wake uliokwama bandarini kaambiwa hakuna hata mia hivyo asubirie kama CCM ikishinda atarejeshewa fedha zake kwani fedha nyingi za watu zilizokuwa benki kuu CCM wanazitumia kufanya kampeni na kuhonga watu.
Nawaasa CCM kuwa makini na fedha za watanzania wasizifanyie masikhara LA sivyo wataipeleka nchi pabaya.
Mwigulu na wenzenu wenye uchu wa kuendelea kutawala nchi kimabavu huku mkitumia Mali za watu kujipatia madaraka kuweni makini.
Aisee!! Mkapa kweli hakukosea kuwaita malofa daah!!.
Mkuu kumbe mtupu kiasi hiki wakati mwingine kukaa kimya ni bora unaficha upumbavu wako.
Hebu nifahamishe jinsi ya kufungua account BOT process zinakuaje?

daaaaaa sawaaaaaaaaaa:glasses-nerdy:
Ndiyo maana hata Lowassa kawambia hawa jamaa zake.Aibu tupu!!!! Aibu sana! Mkapa was right!
Kamanda!! Bavicha mwenzako kachemka unawapa lawama Lumumba.chakii .. kitu usichokojua usikilete huku una wapa bichwa hawa magamba ya lumumba.... inasikitisha though
Mkuu unaweza kukuta huyu mleta hii mada ni mgombea ubunge wa UKAWA/Chadema na hizo ndiyo data zake anazozitumia kuomba kura.Ha ha ha mkuu kwani malofa bado wanaishi Tanzania?
jamani haya yote ni madhara ya ccm hawakuwapatia watanzania elimu akawafanya malofa na wapumbavu sasa unashangaa nini msimbeze muelewesheni bot ni regulatory ya banks na kusecure deposits za banks atawaelewa pia