Sasa nadhani ni Wakati wa Kutambuana maana Tunachukiliana sana Poa Humu Ndani. Tutambuane sasa.

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Nmekuwa nikipenda kuwasoma watu kadhaa humu ndani my brother from another mother mzee wa mapene asiyeuliza bei Kiduku Lilo mtaalamu wa nyanjo/mikasi na mambo ya stories za kujenga sometimes GuDume na mdogo wake Zero IQ , wazee wa kale wenye utulivu akina Bujibuji Baba Swalehe n.k

Humu ndani kuna vichwa vingi vya maana hatuvitumii tu. Mfano mtu kama gudume ana madini na udongo sometime.ukikaa naye unaweza chukua madini na ukaacha udongo.

Kiduku lilo ana somo kubwa sana ambalo nimejifunza sasa leo nmegudnja humu JF kuna Team mbalimbali. Kama alivyozitaja. naomba tutambuane. Tufahamiane.tusichukuliane poa humu ndani.unaweza kuja kuta mimi ndo nampa mzazi wako pesa ya kukulipia wewe ada. Unamwona mama yako anapendeza mimi unayenitukana humu ndo nampendezesha.

Teams za Kigilagila.

Team roho za Korosho,
Team Umaskini Banks,
Team Watu BwatuBwatu
Team Wenye wivu
Team msongo wa mawazo
Team wapingaji
Team wanafiki
Team wagongeaji
Team wadangaji
Team wadandiaji

Team oysterbay
Team wasafi wa mioyo
Team Wachinja bata
Team adui wa Mbuzi,
Team Tumia zikuzoee
Team tupa tupa kupata kuna Mungu
Team mikasi na pesa
Team akili Mtaji,
Team ya Ukweli,
Team Ponda Mali,
Team Hatuulizi Bei.

Tuendelee kupeana updates. Tuwaache wengine wafe kwa vijiba vya roho. Maisha yao wenyewe nasi tuna ya kwetu.

Tutambuane wadau. Tutambuane ili tuweze kuelewana humu ndani. Nashukuru sana Mutu Mwenye pochi Nene Papaa Kiduku little.
 
Back
Top Bottom