ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
Katka hili mkuu yetu macho tuuu na masikioHellow.....Ni ukweli ulio wazi kuwa hata kama umefauli vizurii lkini bado Kwenda Chuo ni Mbindeeee tena Mbindee sabaaa Kuliko miaka Yoyote ulio wahi kuisikia
Vyuo 19 vimefungiwa vyuo ambavyo wengi wao walikuwa ndio kimbilio na watu wanapata Ajira Sasa TCU kuvifunguia Ni pigo kubwaaa kwa wanao taka kuiunga na chuo kimojawapo Mfano KCMC na KAMPALA! Sasa kuvifungua means umezuia Zaidi ya wanafunzi elfu 2000 kujiunga hapoo Je wataenda wapi akati vyuo kama MUHAS kwa kila kozi hawazidishi wanafunzi 150 je wataenda wapi
Ada ya kufanya maombi sahizi imekuwa kubwa kwa watoto wa maskini kuwa na laki 2 ili ufanye maombi ni ngumu! Jamani mambi yamekuwa magumu magumu kupitiliza
Kabla hujaomba chuo pamoja na One yako Fanyeni Maombi kabla ya kufanya Maombii
Niwatakieni mafanikio katika kufanya application zenu! Bila maombi kwa MUNGU nothing can Be Done
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakuwa umeshaipata hiyo degree na kibarua unacho..
ulipata three na unashabikia kuwa na degree halafu wenye one wa kipindi hiki hawasomi vitu ambavyo ni ndoto zao..ovyo kabisa..
Kusoma vizuri ni muhimu sana pia. Cheti pekee bila kuwa umekamilika ni tatizo kubwa sana.Hellow.....Ni ukweli ulio wazi kuwa hata kama umefauli vizurii lkini bado Kwenda Chuo ni Mbindeeee tena Mbindee sabaaa Kuliko miaka Yoyote ulio wahi kuisikia
Vyuo 19 vimefungiwa vyuo ambavyo wengi wao walikuwa ndio kimbilio na watu wanapata Ajira Sasa TCU kuvifunguia Ni pigo kubwaaa kwa wanao taka kuiunga na chuo kimojawapo Mfano KCMC na KAMPALA! Sasa kuvifungua means umezuia Zaidi ya wanafunzi elfu 2000 kujiunga hapoo Je wataenda wapi akati vyuo kama MUHAS kwa kila kozi hawazidishi wanafunzi 150 je wataenda wapi
Ada ya kufanya maombi sahizi imekuwa kubwa kwa watoto wa maskini kuwa na laki 2 ili ufanye maombi ni ngumu! Jamani mambi yamekuwa magumu magumu kupitiliza
Kabla hujaomba chuo pamoja na One yako Fanyeni Maombi kabla ya kufanya Maombii
Niwatakieni mafanikio katika kufanya application zenu! Bila maombi kwa MUNGU nothing can Be Done
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikurekebishe katika mambo mawili,Hellow.....Ni ukweli ulio wazi kuwa hata kama umefauli vizurii lkini bado Kwenda Chuo ni Mbindeeee tena Mbindee sabaaa Kuliko miaka Yoyote ulio wahi kuisikia
Vyuo 19 vimefungiwa vyuo ambavyo wengi wao walikuwa ndio kimbilio na watu wanapata Ajira Sasa TCU kuvifunguia Ni pigo kubwaaa kwa wanao taka kuiunga na chuo kimojawapo Mfano KCMC na KAMPALA! Sasa kuvifungua means umezuia Zaidi ya wanafunzi elfu 2000 kujiunga hapoo Je wataenda wapi akati vyuo kama MUHAS kwa kila kozi hawazidishi wanafunzi 150 je wataenda wapi
Ada ya kufanya maombi sahizi imekuwa kubwa kwa watoto wa maskini kuwa na laki 2 ili ufanye maombi ni ngumu! Jamani mambi yamekuwa magumu magumu kupitiliza
Kabla hujaomba chuo pamoja na One yako Fanyeni Maombi kabla ya kufanya Maombii
Niwatakieni mafanikio katika kufanya application zenu! Bila maombi kwa MUNGU nothing can Be Done
Sent using Jamii Forums mobile app
maisha ni zaidi ya kupata three na one ndugu yangu mtaani one yako haina maana yoyote kma huwez kudeliver pambana na hali yko achana na mentality ya kimaskiniulipata three na unashabikia kuwa na degree halafu wenye one wa kipindi hiki hawasomi vitu ambavyo ni ndoto zao..ovyo kabisa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana Yule mwizi sanaHellow.....Ni ukweli ulio wazi kuwa hata kama umefauli vizurii lkini bado Kwenda Chuo ni Mbindeeee tena Mbindee sabaaa Kuliko miaka Yoyote ulio wahi kuisikia
Vyuo 19 vimefungiwa vyuo ambavyo wengi wao walikuwa ndio kimbilio na watu wanapata Ajira Sasa TCU kuvifunguia Ni pigo kubwaaa kwa wanao taka kuiunga na chuo kimojawapo Mfano KCMC na KAMPALA! Sasa kuvifungua means umezuia Zaidi ya wanafunzi elfu 2000 kujiunga hapoo Je wataenda wapi akati vyuo kama MUHAS kwa kila kozi hawazidishi wanafunzi 150 je wataenda wapi
Ada ya kufanya maombi sahizi imekuwa kubwa kwa watoto wa maskini kuwa na laki 2 ili ufanye maombi ni ngumu! Jamani mambi yamekuwa magumu magumu kupitiliza
Kabla hujaomba chuo pamoja na One yako Fanyeni Maombi kabla ya kufanya Maombii
Niwatakieni mafanikio katika kufanya application zenu! Bila maombi kwa MUNGU nothing can Be Done
Sent using Jamii Forums mobile app
na wewe uache watu wapate degree,unataka uwe msomi mwenyewe..maisha ni zaidi ya kupata three na one ndugu yangu mtaani one yako haina maana yoyote kma huwez kudeliver pambana na hali yko achana na mentality ya kimaskini
source ya dataHellow.....Ni ukweli ulio wazi kuwa hata kama umefauli vizurii lkini bado Kwenda Chuo ni Mbindeeee tena Mbindee sabaaa Kuliko miaka Yoyote ulio wahi kuisikia
Vyuo 19 vimefungiwa vyuo ambavyo wengi wao walikuwa ndio kimbilio na watu wanapata Ajira Sasa TCU kuvifunguia Ni pigo kubwaaa kwa wanao taka kuiunga na chuo kimojawapo Mfano KCMC na KAMPALA! Sasa kuvifungua means umezuia Zaidi ya wanafunzi elfu 2000 kujiunga hapoo Je wataenda wapi akati vyuo kama MUHAS kwa kila kozi hawazidishi wanafunzi 150 je wataenda wapi
Ada ya kufanya maombi sahizi imekuwa kubwa kwa watoto wa maskini kuwa na laki 2 ili ufanye maombi ni ngumu! Jamani mambi yamekuwa magumu magumu kupitiliza
Kabla hujaomba chuo pamoja na One yako Fanyeni Maombi kabla ya kufanya Maombii
Niwatakieni mafanikio katika kufanya application zenu! Bila maombi kwa MUNGU nothing can Be Done
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa na A ya Biology A level, wala sikupata tabu juu ya chuoNaomba nikurekebishe katika mambo mawili,
1.Sio kweli mwaka huu ndio mbinde kuingia chuo kulinganisha na miaka yote,early 80's and 90's vyuo vikuu vilikua vitatu tu yaani UDSM(+MUhimbili as college),SUA na Mzumbe(For In services).Hivyo ilikua wanaoingia ni wenye ufaulu mkubwa sana.
2.Hao unaodai watashindwa kwenda KCMC na kampala hawawezi kuingia MUHAS sabab ufinyu wa nafasi 180 na sio 150...hahaha...acha kuwa tia moyo maana hata muhas ingehitaji wanafunzi 500 always ina maintain standards zake ivo hao size ya KCMC na Kampala wasingeingia MUHAS.Niwe mkweli 99% ya wanaenda ivyo vyuo hua hawana sifa za kusoma MUHAS au UDSM.
Mwisho,niliwahi kuwashauri hawa wadogo zetu wakiwa wanafunzi wasome kwa bidii hasa PCB lakini walikua wanaona tunawatania.Sasa wanahaha wapi wakasome.Kwa aliyefaulu vizuri muda huu anachekelea tu na anafahamu kabisa wapi ataenda kufanyia degree yake.
Walio Advance,hali hii ikawe fundisho kwenu katika kuconcentrate kwny masomo na kuachana na mambo yasio ya msingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama umefaulu chuo utaenda vyuo vipo kibao ss hvi
Hongera mzee,hakika kama mtu kafaulu kwa nini alie lie...juzi kuna mmoja ananitafuta ana Div.2 anaulizia MUHAS,jibu langu likawa aombe Mungu waliofaulu vizuri zaidi yake wasiapply MUHAS ndio ataipata[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikuwa na A ya Biology A level, wala sikupata tabu juu ya chuo