Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,432
- 73,078
Hili jambo linakera na kuhuzunisha sana. Maafa yakitokea na yakiwagusa watu serikali inayageuza kuwa source ya revenue kwa nini? Tuliona Kagera kwa kutumia ofisi ya mkuu wa mkoa na wananchi wakapiga kelele sana kutofurahishwa na hilo.
Lakini ikawa kama kumpigia mbuzi gitaa, wamerejea hayohayo Arusha kupitia ofisi ya RC hata kumbukumbu ya Kagera haijafutika.
Kama tukikemea hawasikii sasa tuchukue hatua gani? Maana majanga kwetu wanadamu hayawezi kuisha yapo tuu.
Hivi hata magari ya jeshi yanaposhiriki kwenye maafa yanakuwa yamekodiwa kwa fedha za rambirambi?