Sasa Imethibitika Profesa Kabudi Kafeli

mwaka jana mmetuambia kuwa airtel ni kampuni ya serikali kwa asilimia mia (inamilikiwa na serikali) mwaka huu mnatuambia kuwa hisa za serikali zimepanda toka 40 mpaka 49. Tuwaeleweje nyie
 
hivi unajua maana ya hisa kweli?
Ile 1 billion ipo nje ya hisa,halafu serikali na airtel wamekubaliana kwamba airtel watatoa 1 billion kila mwezi kwa miaka 5 sasa wewe unakataa kama nani? au u chuki inakusumbua?
Nakuuliza tena unajua maana ya hisa?

Test me then you f*cking Paki! I had done college on investment before you were concevied!

Kwa akili zako timamu wewe Airtel watowe 1B kila mwezi kwa miaka 5 for what? Are you in your fucking unsound mind?
 

Medula Oblongata yako bora iwe chaja ya simu
 
Hadi umri huu hujui maana ya hisa?
Chuki
Kinyongo
Wivu
Roho mbaya and the likes ndo yanakusumbua
Chimbachimba usijibu kilayman hivyo, hizo pesa za one billion per month, two billions for community benefit na mgao mwingine wa gawiwo la billions 10 kwa mwaka. Kiukweli it's so hard to understand.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Test me then you f*cking Paki! I had done college on investment before you were concevied!

Kwa akili zako timamu wewe Airtel watowe 1B kila mwezi kwa miaka 5 for what? Are you in your fucking unsound mind?
Ok umeshinda.
 
Sasa kama mitambo imeharibika hata kama hawaimiliki wao wewe utatumia nini?

The point is huwezi kuguarantee dividends kwa shareholders kwenye biashara, msenge wewe, kama hujui kuleta hoja bila ya kutukana watu, na sisi tuanweza kutukana pia!
hujui kitu mkuu kwani mara nagapi fiber optic inakatika baharini? kampuni zinashare minara na mitambo wamiliki ni helios tower na kampuni nyingine kwahiyo as long as tigo wapo voda, airtel, zantel watakuwepo tatizo wewe kichwa kizito, kwanini mama yako hakufanya abortion katuletea zombie jamii forums kila biashara ina changamoto na changamoto haizuii ku guarantee dividends exceptions zipo you idiot.
 

Simulizi kwa takribani miaka miwili ni kuwa Airtel imekuwa inaendeshwa kwa hasara na pia ina madeni makubwa ya mabenki. Sasa sijui tunapoongezewa hisa kwa sasa maana yake ni nini. Kwa vyovyote kampuni itahitaji equity call ili ijiendeshe, na hivyo wabia kutakiwa kuweka mtaji kwa kulingana na hisa zao. Kwa sheria za makampuni atakayeshindwa kuingiza fedha ili kuuboresha mtaji wa kampuni hisa zake zitapungua kwa dhamani ambayo ni sawa na hela ambazo alitakiwa kuchangia...... let us wait and see
 
Nauliza tu
Mtu akiwa na PhD hapa Tanzania hiyo PhD yake inakua sawa na mtu mwenye PhD Uingereza au nchi nyingine Ulaya au Amerika?

Namaanisha competence ya watu hawa itakua sawa?, thinking zao zitakua sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe utakuwa ni matokeo ya mama yako kubakwa.sio bure!
 
namshukuru Mungu sikuwahi kufundishwa na Kabudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…