Makinikia Original
Member
- Aug 29, 2017
- 90
- 154
Mbwembwe nyingi za nguli wa sheria Profesa Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi mara tu baada ya kuteuliwa kuchukua nafasi ya uwaziri sasa zimefika tamati.
Hii inaweza kuhusishwa na ugumu wa nafasi aliyopewa, kukosa uwezo au hata ufanisi wa viongozi wake wakuu kwa maana ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Toka picha ya makinikia ishindwe kuendelea kutokana na huo huo uwezo wa Profesa Kabudi, leo kaja na hili suala la Airtel na mabilioni ya shilingi.
Najiuliza haya mabilioni kutoka Airtel yanalipwa lipwa kwa misingi ipi au ni zile zile hekaya za Abunuasi.
Kabudi kashindwa ......
Wewe unayejua jimwage hapa tuone nyie mabinti wa sikuhizi kazi yenu ni kujichubua tu na uongo mwingiKwanini unaandika mambo usiyojua ukweli wake? Acha kujiabisha.
Nonsense from the craps so called Ba vichaaa!Mbwembwe nyingi za nguli wa sheria Profesa Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi mara tu baada ya kuteuliwa kuchukua nafasi ya uwaziri sasa zimefika tamati.
Hii inaweza kuhusishwa na ugumu wa nafasi aliyopewa, kukosa uwezo au hata ufanisi wa viongozi wake wakuu kwa maana ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Toka picha ya makinikia ishindwe kuendelea kutokana na huo huo uwezo wa Profesa Kabudi, leo kaja na hili suala la Airtel na mabilioni ya shilingi.
Najiuliza haya mabilioni kutoka Airtel yanalipwa lipwa kwa misingi ipi au ni zile zile hekaya za Abunuasi.
Kabudi kashindwa ......
Toka tupate uhuru mnatawala baada ya mkoloni hakuna mnachokifanya zaidi ya kucheza "Nyegezi"Nonsense from the craps so called Ba vichaaa!
Hata mambo ya hisa zetu toka TTCL,CELTEL, ZAIN na hivi sasa ZAIN bado hamuwezi kupambanua ?mnatuletea uharo wa threads mfu kama hizi.
Majizi utayajua tu!
Aibu kwenu mlizowea short cuts za matanuzi ya magari ya kelele mitaani kwa fweza za wizi sasa mtaisoma namba....nahii ni mpaka 2025 na baadae ni majaliwaaaaa![emoji1241]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na serikali imejaa wasomi kweli kweli wao wanaziita PHDToka tupate uhuru mnatawala baada ya mkoloni hakuna mnachokifanya zaidi ya kucheza "Nyegezi"
Ccm joka kuu
Hadi umri huu hujui maana ya hisa?
Chuki
Kinyongo
Wivu
Roho mbaya and the likes ndo yanakusumbua
Hii yote ni mikataba ambayo ni aspect ya kisheria
Hivi hii thread yako ilikua na maana ya kuuliza ama kubeza?Mwerevu huuliza lkn mbumbu hukaa kimya, tafakari.
Uchi wa ubongo wako unachukiza kuliko uchi wa mnyama.Hili litakua DUDU lingine maana watanzainia kwa kufanya MADUDU mmh.