Sasa hiki ndiyo nini?

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,897
Reaction score
4,484
Mbona kuna watu wanaeneza chuki ya kidini miongoni mwa watu? Sasa mtu kuvaa kanzu na barakashia kuna muathiri vp mwanafunzi na wale wanaowafundisha? Watu wachache ebu acheni kueneza udini.Unafiki tu
 

Attachments

  • FB_IMG_1748076072033.jpg
    48.4 KB · Views: 12
Udini unaouongelea upo wapi kwenye hiyo barua? Nikionacho mimi ni kwamba wewe wewe ndiyo unaleta udini kwa kuhusisha jiba la mtu na dini yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…