Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,846
Sarakasi zinazoendelea za kulazimisha ushindi wa lazima katika umeya wa Tanga, Kinondoni na Ilala, kwenye mambo ya wazi yanayoonyesha kuwa CCM wana kura ndogo za kuwawezesha kushinda lakini wanalazimisha kushinda, inatoa picha ya wazi kuwa hata uchaguzi mkuu hawakushinda badala yake walilazimisha ushindi. Maana uchaguzi mkuu tume ilikuwa yao, wao ndo wanakusanya kura, wanajumlisha wao, wanatangaza wao, sitegemei haki ilitendeka kama wanashindwa kutenda hizi za umeya zilizo wazi.