Sarakasi za siasa bado zinaendelea

Kibundi wa getto

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
455
877
Wakuu
Kuna mtu mmoja ,wengi tunamjua kutokana na maisha yake pamoja na mipango yake. Huwa anaona mbali na mipango yake huwa ni ya mda mrefu.

Wengi wanamjua toka 1995 lakini wengine wanamjua toka 1980s. Nisiwachoshe sana ngoja niende kwenye point

Watu wengi wanalalamika eti sijui ugomvi wa kusini na kaskazini ndio ulimleta KARULETE, apana ni mipango yake uyu mtu.
Alicheza picha kali katika mchujo, na kutuacha wengi bila kuelewa lakini ule ni mpango mahususi na ulikua na dhamira kali ya kufanya kinachotokea sasa.

Sasa basi, picha bado linaendelea ni zamu ya muhula huo unaokuja. Kuna kitu wengi hatujakifahamu, Uteuzi huu uliombwa na walioteuliwa. Dhumuni kuu ni kuja kuongeza nguvu ya kumuandalia mazingira PRINCE katika harakati za kupokea ufalme kutoka Kwa yule waliomuazima.


Nguvu kubwa ya ushawishi ndio weapon kubwa inayotumika apa, na picha linachorwa Kwa ustadi mkubwa sana. Huyu mtu bado yeye ndio yeye no body can stop him.


Kwa leo nihishie hapa but time will tell
 
Back
Top Bottom