bosco patrick
Member
- Nov 12, 2015
- 16
- 7
Du u u! Hiyo dili safi sana, ebu weka contact tuanze biasharaTunaombeni serikali ifuatilie hili suala. Maana kuna watu mtaani huku mwanza wananunua hizo sarafu kwa sh 1000/= hatujajua mtatumizi yake ni yapi. Na ukifuatilia kwa karibu utagundua kuwa 500 imekuwa adimu, sina uhakika kwa mikoa mingine ila kwa Mwanza. Inaonekana 500 ya noti inapotea kwa speed sana. Hiyo ya sarafu inayoingia inanunuliwa na kutumika isivyotakiwa
Mimi ninazo nyingi hizoTunaombeni serikali ifuatilie hili suala. Maana kuna watu mtaani huku mwanza wananunua hizo sarafu kwa sh 1000/= hatujajua mtatumizi yake ni yapi. Na ukifuatilia kwa karibu utagundua kuwa 500 imekuwa adimu, sina uhakika kwa mikoa mingine ila kwa Mwanza. Inaonekana 500 ya noti inapotea kwa speed sana. Hiyo ya sarafu inayoingia inanunuliwa na kutumika isivyotakiwa
Tunaombeni serikali ifuatilie hili suala. Maana kuna watu mtaani huku mwanza wananunua hizo sarafu kwa sh 1000/= hatujajua mtatumizi yake ni yapi. Na ukifuatilia kwa karibu utagundua kuwa 500 imekuwa adimu, sina uhakika kwa mikoa mingine ila kwa Mwanza. Inaonekana 500 ya noti inapotea kwa speed sana. Hiyo ya sarafu inayoingia inanunuliwa na kutumika isivyotakiwa
Mbona hata saiv noti nyekundu zimekuwa chakavu nin tatzo au nazo utaratibu unafanyikaaHao wapo nyuma mana hizi za sasa sio dili
Kipindi zilipotoka ndo zilikuwa dili watu wanazitafuta vibaya mno tena wanazunguka madukani kuzinunua
Nasikia serikali ilistuka mapema ikazibadilisha ndo mana ukiishika hii ya sasa na ile ya zamani inautofauti hizi za sasa nyepesi sana
Nasikia walikuwa wanayeyusha kutengenezea vito vya thamani sijui ni kweli ila ukikamatwa imekula kwako(Hizo ni stori za kitaa)
Suala la noti kupotea nadhani ni mpango wa kuitoa kwenye mzunguko mana zile noti ni za hovyo zimechoka mbaya ili zibaki sarafu
Nimebase kwenye noti za mia tano mana ndio janga hizo nyingine mbona ziko poa tuMbona hata saiv noti nyekundu zimekuwa chakavu nin tatzo au nazo utaratibu unafanyikaa
Tupe story za kitaa