SHAMAC JF-Expert Member Joined Feb 9, 2017 Posts 1,340 Reaction score 3,565 Aug 13, 2017 #1 Tanzania yazidi kujitangaza kimataifa : Mwigizaji hodari wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt alikuja Tanzania kwa mapumziko ya siku 21 ambapo alitembelea Mbuga za Wanyama ikiwa ni miezi kadhaa baada ya kuachiwa huru kutoka gerezani. Copy & Pest from Millardayo.com
Tanzania yazidi kujitangaza kimataifa : Mwigizaji hodari wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt alikuja Tanzania kwa mapumziko ya siku 21 ambapo alitembelea Mbuga za Wanyama ikiwa ni miezi kadhaa baada ya kuachiwa huru kutoka gerezani. Copy & Pest from Millardayo.com
Obugwa Izoba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2013 Posts 10,487 Reaction score 11,725 Aug 13, 2017 #2 NOTED!! ''Aut Vincere Aut Mori''
RUKUKU BOY JF-Expert Member Joined Sep 8, 2015 Posts 1,588 Reaction score 1,859 Aug 13, 2017 #3 utalii utaporomoka sababu ya VATI in halima mdee voice teh teh