Sanduku la maoni

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
4,322
Reaction score
6,700
Leo nilikuwa sehemu fulani ni ofisi ya serikali,nikawa naangalia kisanduku kimeandikwa ''SANDUKU LA MAONI''hivi kuna mtu kweli huwa anatoa maoni yeyote kwenye haya masanduku na kufanyiwa kazi?ni nani alitoa idea ya haya masanduku?mbona yalivyowekwa yamekaa kama ni kwa mganga tu,buibui kibao wamejengea,nashauri wayatoe tu,maana sidhani kama yana faida yeyote,siku hizi ofisi yeyote wakizingua tunawapasulia hapa JF.
 
Email zenyewe hawajibu wala kupokea landline... itakua kisanduku cha maoni...

Ila na kingine waTanzania hatuna desturi ya kuacha jumbe kwenye hivyo visanduku...

Tunamalizana kwenye vyombo vya habari...



Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…