Hivi huyu binadamu anamaanisha nini kusema anawiwa? Labda kwenye kikao ataeleza sababu za kuwapigisha kura wafu. Huyu mzee naona kama mshipa wa aibu umekatika. Too sad.
Yani huwa najisikia kichefuchefu nikisikia sauti yake,akionekana kwenye tv nahamisha steshen,ikiwekwa front kwenye gazeti hakika silinunui, nimemuondoa kwenye fikra zangu