M magembe32 Member May 30, 2015 38 1 Nov 6, 2015 #101 Ili nchi ibaki kitu liminal tumpate spika mwenywe kutumia Akili badala ya ubabe kama zungu
ibesa mau JF-Expert Member Sep 17, 2015 2,109 1,692 Nov 6, 2015 #102 Mazigazi said: Hivi rostam alikuwa waziri wa nini tukumbushane. Click to expand... mambo ya ndani mkuu hata historia huwa hufuatilii
Mazigazi said: Hivi rostam alikuwa waziri wa nini tukumbushane. Click to expand... mambo ya ndani mkuu hata historia huwa hufuatilii
Maarifa JF-Expert Member Nov 23, 2006 4,568 2,912 Nov 6, 2015 #104 wampe yule wa koogwe!! prof. nanihiiiii
Magwangala JF-Expert Member Oct 4, 2011 2,418 1,543 Nov 6, 2015 #105 Elungata said: Ukawa bora mchague makinda:::samweli sita hana cha kubembeleza eti,"mwanangu mkosamali,mnyika kaeni basi wanangu" sita anakufukuza bungeni Click to expand... Acha kufunua utupu wako,kwani UKAWA wanachagua mgombea wa spika kupitia CCM?
Elungata said: Ukawa bora mchague makinda:::samweli sita hana cha kubembeleza eti,"mwanangu mkosamali,mnyika kaeni basi wanangu" sita anakufukuza bungeni Click to expand... Acha kufunua utupu wako,kwani UKAWA wanachagua mgombea wa spika kupitia CCM?
mzaramo JF-Expert Member Sep 4, 2006 6,371 5,175 Nov 6, 2015 #106 Lowassa anafaa kidogo apoze machungu wa kukatwa katwa kila anapojaribu
F fukunyungu JF-Expert Member May 16, 2011 717 194 Nov 6, 2015 #107 Kimla said: Sitta hafai tena.atamusumbua magufuri Click to expand... sixy hafai
mzaramo JF-Expert Member Sep 4, 2006 6,371 5,175 Nov 6, 2015 #108 sirparadek said: Mzee Sittta hebu pumzika Baba tuko chini ya miguu yako Click to expand... we toka huko chini ya miguu yake hana huruma huyu baba anaweza kukukanyaga hivi hivi
sirparadek said: Mzee Sittta hebu pumzika Baba tuko chini ya miguu yako Click to expand... we toka huko chini ya miguu yake hana huruma huyu baba anaweza kukukanyaga hivi hivi
mzaramo JF-Expert Member Sep 4, 2006 6,371 5,175 Nov 6, 2015 #109 Mazigazi said: Hivi rostam alikuwa waziri wa nini tukumbushane. Click to expand... labda waziri wa ufisadi na kupiga deal
Mazigazi said: Hivi rostam alikuwa waziri wa nini tukumbushane. Click to expand... labda waziri wa ufisadi na kupiga deal
Mulangila Mukuru JF-Expert Member Feb 24, 2010 1,945 725 Nov 6, 2015 #110 Nitashanagaa sana CCM wakimrudisha Sitta wajue kuwa upinzani una wabunge 100 hivo ccm wakigawanyika kidogo inweza kula kwao Zungu na Simbachawene ni wazuri kiasi ukiwalinganisha na wengine ndani ya CCM
Nitashanagaa sana CCM wakimrudisha Sitta wajue kuwa upinzani una wabunge 100 hivo ccm wakigawanyika kidogo inweza kula kwao Zungu na Simbachawene ni wazuri kiasi ukiwalinganisha na wengine ndani ya CCM