Samung LCD TV 32"

Bond James

Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
54
Reaction score
7
Wana JF please take a note that we have 200 units brand new of Samsung LCD TV 32" 4 Series in stock. The buying price is
Tshs 800,000.00 VAT Inclusive. Please press your order by calling this number 0655-821266
 
Unaeza kuweka internet link kuonesha specs? itasaidia kujua ni product gani unaongelea.
 
Punguzeni bei, watu wanaweza wakapata kitu hiyo hiyo kwa laki saba!!!
 
elewesha raia bana if posible weka picha, sio kila mtu anajua tofaut za tvz

senkyu
 
Wana JF please take a note that we have 200 units brand new of Samsung LCD TV 32" 4 Series in stock. The buying price is
Tshs 800,000.00 VAT Inclusive. Please press your order by calling this number 0655-821266

Mkuu watu sasa wameendelea zaidi wameachana na LCD na sasa wako kwenye LED.
 
Mkuu watu sasa wameendelea zaidi wameachana na LCD na sasa wako kwenye LED.
Hata mimi namshangaa. LED Samsung inch 32 unaipata kwa laki 9 tu! Kanini uwe kwenye technologia ya zamani kwa kununu LCD?
 
mi ninazo 32inch lcd,samsung series 4.ina hdmi,vga input,2 usb ports,nk.nauza 650.namba 0713656256
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…