Samsung zenye dot

Corner stone

Member
Joined
Jan 3, 2020
Posts
32
Reaction score
41
habari ya mwaka mpya wakuu, nimekutana na SAMSUNG used from dubai bei nafuu kidogo mana zile fullbox bei zake ni "sugunyo" itanilipua, nimefanya ka udadis zile simu zina dot. naombeni wenye experience na samsung used zenye dot wanipe ramani nisiyafake.

 

Mbona ziko poa tu mkuu! Hii huu ni mwezi wa nne sasa, note 10 plus 12 ram storage 256 kwa laki 5. Nafurahia maisha, kwa upande wa battery niwe mkweli sijawahi kutumia simu yenye kukaa na charge kuliko hii, mimi ni mtumiaji sana wa simu lakini kwa siku na charge maramoja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…