Samsung yazidi kuwa Iphone

Haya mambo alianzisha Apple. Na kwenye hii dunia yetu kila anachoanzisha Apple watu wanaita Innovation [emoji28][emoji28]
Ila mi najua ni mbinu tu za kibiashara. Haya makampuni Yana akili sana
SIo ni makubaliano ya watengeneza simu soko la dunia kuhusu kutunza mazingira??? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hii sasa hivi inaenda ngapi mkuu...?
 

Mkuu hizo sio sababu za MSINGI kwa mtumiaji
Hizo ni sababu za kibiashara kwa kampuni

Nashangaa sana pale kampuni zinapotengeneza utaratibu wa kutukamua zaidi kwa sababu za kijinga kama kutunza mazingira na bado kuna watu wanaamini sababu hizo ni za msingi

Hivi kama nina iphone nataka nihamie S23 nitatumia chaja ya iPhone?
Hivi kama nina infinix nahamia S23 kweli nianze kutumia chaja ya infinix ?
Kila siku inaimbwa kwamba chaja za hovyo zinaua betrii leo unasema tukanunue chaja affordable?
Unajua bei ya hizo chaja origino?

Mnavyo maanisha ni kama ukinunua simu mpya basi huna haja ya chaji mpya kwasababu ukipewa chaji mpya wakati unayo ya zamani basi machaji yatajaa mtaani na kuwa uchafu
Yaani ni kama ukinunua simu mpya basi simu ya zamani haina kazi na chaja yake ni ziada tu...... vipi kama nataka kumpa mama yangu au mwanangu au demu wangu? Nimpe bila chaji?

Hatuna namna inabidi tukubali maana kila kitu wanapanga wao
Ila binafsi naona chaji ilikua ni muhimu sana kuwepo
 
Hii sasa hivi inaenda ngapi mkuu...?
Bei ya Xiaomi Mi Mix Alpha niliyoiona kwenye website ya Xiaomi ilikuwa ni TSh 6,700,000/=
Ingawa ilikuwa cancelled kutokana na production na distribution problem. Mfano AliExpress ilikuwa inauzwa hadi kwa shilingi milioni 13
Kwa hiyo kwa sasa kama unaitaka itapaswa uagize kutoka kwa Xiaomi wenyewe
 
Just imagine

Samsung Galaxy S23 Ultra ina hadi 1TB storage na bado watu wanataka sehemu ya kuwekea memory card [emoji28][emoji28]

Mkuu shida nyingine ni utofauti wa aina ya watumiaji kutoka sehemu moja ya dunia hadi nyingine na uwezo wao kiuchumi

Sd card mitaani ni kitu muhimu kweli kwenye kurahisisha movement za data kama movies songs nk
Dunia ya tatu watu wanahamishiana sana data kwa sd card sababu ndio njia rahisi ndio maana wanaona imekua kero
Sasa inabidi watumie Pc
 

Uko sahihi, ila wewe ni mteja wa Samsung ambaye hawawezi kukutilia maanani.
 
Samsung bdo itabak kuw na features nyingii zaidi compared to IPhone.
Iphone ni simu ya kilimbukeni mno
Mbona % 99 ya wazungu niliyokutana nao wanatumia simu za Iphone?, Nakushangaa unasema ni simu za kilimbukeni yani kati ya Mwafrika na Mzungu nani limbukeni wa vifaa vya Elektroniki?
 
Mbona % 99 ya wazungu niliyokutana nao wanatumia simu za Iphone?, Nakushangaa unasema ni simu za kilimbukeni yani kati ya Mwafrika na Mzungu nani limbukeni wa vifaa vya Elektroniki?
Labda anamaanisha kwa Bongo watu wengi wananunua iPhone Kwa sababu ya kufuata mkumbo na ulimbukeni mwingi
 
Mimi ni Sony fan hadi watapofunga kiwanda ๐Ÿ˜€!
Sahizi niko na XZ1 nainjoy unyama tu juzi nimesahau bomba maji yamejaa hadi chumbani cha ajabu simu iko kwenye maji ila haijaharibika. Kumbe kitu ni waterproof bana ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
 
... charger yake aliyokuwa anaitumia kwenye simu ya zamani bado ipo.
Kijana hapo naomba usipotoshe au kuandika as wote hatuelewi humu.

Kila charger inauwezo tofauti wa kuchaji simu husika labda iwe d same phone, vinginevyo huwezi chaji Samsung kwenye charge ya Vivo ikiwa na amps tofauti.

Zingatia kila siku teknoloji inabidirika as kutoka slow to fast.
 
Duh .. wewe unachotaka ni kubishana na kuleta ushabiki
Kwa hiyo hakuna earpods zinazoharibika[emoji23][emoji23]
Mi naishia hapa
Sio kubishana. Kumbuka umesema huna experience. Na watumiaji tumekwambia mbona hatuna hilo tatizo la vitu kuharibika sana

mie sijawahi haribikiwa kabisa. Ndio maana nimekukatalia.
 
Tulia bwana wako akuache utaelewa kwanini watu wananunua Tecno fold ๐Ÿ˜€
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ sitakua sina akili kiasi cha kununua tecno wereva fold nitumie
 
Sawa,ngoja kwanza nimalizie pagale langu hizi simu zipo tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ