Samsung window phone! Msaaada jamani..

Nikhil

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
361
Reaction score
120
Wakuu hii phone ni nzuri ila mbona yangu inapata moto mno wakati nikiwa niko internet! Sababu ni nini?
Natanguliza shukrani😉
 
Mkuu nivizuri kama unatatizo na kitu unaweka full details
Simu gani?(SumSung zipo nyingi sana)
Windows gani unatumia?
Labda tatizo limeanza baada ya kuwaje nk nk

Watu wanaweza kuku saidia hata kugoogle, lakini kama maelezo yako nusu nusu unawatia uvivu wataalamu kukusaidia
 
Kweli hata mimi ninayo samsung SGH i917 windows 7 yani siwezi kudownlod chochote inagoma kabisaa.
 
Hata mm ninayo tatizo ni Hilo haisupport chcht sijui eti Kuna ameniambia mpk Zune application sijui
 
Hey mbona me naitumia ins window 8 kila kitu kipo pouwaaa,
 
Hata mm ninayo tatizo ni Hilo haisupport chcht sijui eti Kuna ameniambia mpk Zune application sijui

yaani Hilo tatizo la kushindwa kudownload linanifanya naona kama nilipoteza hela yangu! Msaada kwa anayeweza kutusaidia..
 
Hata mm ninayo tatizo ni Hilo haisupport chcht sijui eti Kuna ameniambia mpk Zune application sijui

Kweli hata mimi ninayo samsung SGH i917 windows 7 yani siwezi kudownlod chochote inagoma kabisaa.

yaani Hilo tatizo la kushindwa kudownload linanifanya naona kama nilipoteza hela yangu! Msaada kwa anayeweza kutusaidia..

mtafuteni huyu jamaa Godfrey Electronics atawasaidia. mimi rafk yangu alimsaidia. hapo inatakiwa kuupdate hiyo OS then ikawa na uwezo wa kudownload application sasaiv anakula whatsapp nk, tena anaweza kukuwekea free coz rafik yangu hakumchaji chochote na hawafahamian
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuh poleni yangu ipo pouwaaa cjui zenu:flypig:
 
Anapatikanaje huyo jamaa na simu yangu nikiwa internet inashika moto saana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…