nnashukuru mkuu kwa Elimu unayo nipatia..'processor', au cpu, central processing unit, inatekeleza amri zote kwenye simu,kompyuta , kama kutuma sms,kuwasha/kuzima bluetooth,data ipi iifadhiwe wapi,kuwasha simu, kuzima simu, na nyingine nyingi mno
em rejea post yangu ya kwanza apo juu, nimeelezeannashukuru mkuu kwa Elimu unayo nipatia..
Sasa Mkuu hii Snapdragom 845 wanao itumia Samsung kwenye Simu zao S9/S9+ na Note 9 ambayo wewe umesema sio Processor bali ni Chipest yenyewe ina kazi gani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo komaa na tecno. Zinatumza sana chaji lakin zipo slow kuprocessbattery life nasubiri reviews za wadau na sio kunambia sijui mah ngapi huko simu inayonipasua kichwa kwenye chaji hata iwe imewekewa nini nakaa nayo mbali.
ahahahah simu zenye uwezo wa kutunza chaj zipo nyingi sio tekno tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo komaa na tecno. Zinatumza sana chaji lakin zipo slow kuprocess
Hapa unazungumzia Tecno.Kitu kinachokuja kusumbua kwenye simu za android ni kuslow down jinsi unavozidi kuitumia. Sijui hua zinakumbwa na nini but moja ya sababu inayonifanya nibaki apple ni hio.