iphone se 2
Member
- May 25, 2018
- 72
- 60
Dola 1000..tegemea kuinunua kwa 3M+ ikija bongoBei yake tafadhalo
S7 inanitesa kwa chaji ***** mpaka najutabattery life nasubiri reviews za wadau na sio kunambia sijui mah ngapi huko simu inayonipasua kichwa kwenye chaji hata iwe imewekewa nini nakaa nayo mbali.
halafu eti mtu umemimina zaidi ya milioni miez mitatu tu chaji inaanza kuzinguaS7 inanitesa kwa chaji ***** mpaka najuta
sumsung watafanya mabadiliko makubwa kuanzia mwaka kesho ila kwa saizi bado sana maana saizi wamefanya mambo kama haya tuConpetition ya Simu ni zaman enzi za kina Nokia na Motorola
Hawa wasahivi wanaigiza tu
snapdragon sio prosesa, ni chipset, muunganiko wa cpu ( mf: cortex )+ram+rom( huifadhi boot up logo, nk )+cache+I/O interface na controlla zao kwenye chip mojaprosesa ya snapdragon 845
Samhani Mkuu nnaomba kujua Zaidi maana hata mimi niliewa kwamba Snapdragon ni "prosesa" ila leo umenipatia msamiati mpya,"prosesa" ni kitu gani?snapdragon sio prosesa, ni chipset, muunganiko wa cpu ( mf: cortex )+ram+rom( huifadhi boot up logo, nk )+cache+I/O interface na controlla zao kwenye chip moja
'processor', au cpu, central processing unit, inatekeleza amri zote kwenye simu,kompyuta , kama kutuma sms,kuwasha/kuzima bluetooth,data ipi iifadhiwe wapi,kuwasha simu, kuzima simu, na nyingine nyingi mnoSamhani Mkuu nnaomba kujua Zaidi maana hata mimi niliewa kwamba Snapdragon ni "prosesa" ila leo umenipatia msamiati mpya,"prosesa" ni kitu gani?