Fafanua vizuri mada yako ili wachangiaji nao wapate kujua unahitaji nini
1.iphone inatumia iOs
2.samsung inatumia android
3.kuhusu ubora wa simu kuanzia chaji,camera na muundo wa simu ni bora ungetaja aina gani ya samsung unaifananisha na iphone,kwa kifupi itakuwa kwa wachangiaji kukusaidia