MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
watu hawanunui sura mkuu, weka specifications!
Hzo hapo mkuu
nimeambulia hdd capacity na available ports, cha muhimu kabisa sijaona mkuu; processor, pia graphic card yake na display
au nimeshaanza kuzeeka mkuu!
MstahikiMeya mi ni huo ugali tu hapo kwa avatar ndo nna shida nao.
Ntaupata?
hahahah mkuu poa karbu