zamboni JF-Expert Member Joined Aug 8, 2011 Posts 364 Reaction score 180 Apr 14, 2015 #1 Habari zenu wakuu!? nna Tv yangu ya samsung inch 24 ambayo kwa bahati mbaya nli iangusha chini, sasa imepasuka kioo! kwahyo nlikua naomba msaada wa kufaham kama inatengenezeka, na pia gharama za matengenezo zina range kuanzia kiasi gani.
Habari zenu wakuu!? nna Tv yangu ya samsung inch 24 ambayo kwa bahati mbaya nli iangusha chini, sasa imepasuka kioo! kwahyo nlikua naomba msaada wa kufaham kama inatengenezeka, na pia gharama za matengenezo zina range kuanzia kiasi gani.
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,365 Reaction score 6,516 Apr 14, 2015 #2 Hapo kanunue tv nyingine tu hizo gharama za mafundi utafrahii ila kutengenezeka yatengenezeka sema cost zake zakaribia kununua tv nyingine
Hapo kanunue tv nyingine tu hizo gharama za mafundi utafrahii ila kutengenezeka yatengenezeka sema cost zake zakaribia kununua tv nyingine
Kabia the great Member Joined Jun 5, 2014 Posts 7 Reaction score 1 Apr 15, 2015 #3 Mpigie huyu jamaa ni dr.mzuri sana wa tv flat atakusaidia 0713207062 anaitwa abbac
zamboni JF-Expert Member Joined Aug 8, 2011 Posts 364 Reaction score 180 Apr 16, 2015 Thread starter #4 JAMESS VICTORIA said: Mpigie huyu jamaa ni dr.mzuri sana wa tv flat atakusaidia 0713207062 anaitwa abbac Click to expand... shukran sana mkuu
JAMESS VICTORIA said: Mpigie huyu jamaa ni dr.mzuri sana wa tv flat atakusaidia 0713207062 anaitwa abbac Click to expand... shukran sana mkuu
zamboni JF-Expert Member Joined Aug 8, 2011 Posts 364 Reaction score 180 Apr 16, 2015 Thread starter #5 Kibajajitz said: Hapo kanunue tv nyingine tu hizo gharama za mafundi utafrahii ila kutengenezeka yatengenezeka sema cost zake zakaribia kununua tv nyingine Click to expand... nimewapigia samsung wameniambia kua bei ya kioo ni sawa na bei ya tv mpya
Kibajajitz said: Hapo kanunue tv nyingine tu hizo gharama za mafundi utafrahii ila kutengenezeka yatengenezeka sema cost zake zakaribia kununua tv nyingine Click to expand... nimewapigia samsung wameniambia kua bei ya kioo ni sawa na bei ya tv mpya