Samsung test

TO2004

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
540
Reaction score
220
Wadau naomba kujua je *#0*# ni application tosha kutambua kama ni samsung orijinal au hata za kichina grade 1 zinakiubali hii kitu?
 
Ongeza na *#1234# na nyingine ni *#03# zikikubali zote hizo angalau unakuwa na uhakika asilimia 70% ni original lakini kitu cha uhakika nunua kwa wakala ambaye anatoa dhamana ya miaka miwili.
Kama mwenyeduka akikubali uchokonoe simu anayouza tume serial no ya hiyo cmu kwende 15685 andika neno check*Imei/serial no.# kwenda hiyo namba fasta watakupa majibu kama wanaitambua hiyo simu.
 
*#0*# - Dead Pixel
*#0228# - Battery
*#44336# - Software Info
*#7353# - Hardware Diagnostic Test
Jaribu hizi zote ziki pass basi ni OG
 
poa mkuu,nitaenda kijaribu yakwangu nione.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…