Kwa mawasiliano piga namba 0676880210Samsung TABLET inauzwa display inch 8,ina ram gb 1 na rom gb 8, haitumii line, ina mwezi 1 tangu kuinunua bei 250,000View attachment 404331View attachment 404332View attachment 404333View attachment 404334View attachment 404335
Kaka bora usingecomment.... Maana umeongea kichekesho..... Sasa nani kakuambia net inapatikana kwenye line peke yake???? Je kama ukiwa na wife! Ama ukiwa na router ama modem... Ama ukifanya tethering na device nyingine!Haitumii line...sasa net inakuwaje?
Na wewe(wife)ndo nini ni WIFIKaka bora usingecomment.... Maana umeongea kichekesho..... Sasa nani kakuambia net inapatikana kwenye line peke yake???? Je kama ukiwa na wife! Ama ukiwa na router ama modem... Ama ukifanya tethering na device nyingine!
Hahahahahaha....duh,hatari sana.Na wewe(wife)ndo nini ni WIFI
Haitumii line...sasa net inakuwaje?
Kaka bora usingecomment.... Maana umeongea kichekesho..... Sasa nani kakuambia net inapatikana kwenye line peke yake???? Je kama ukiwa na wife! Ama ukiwa na router ama modem... Ama ukifanya tethering na device nyingine!
Nisinge comment nisingeyajua hayo....asante.