I flash ni virus angalia android version download firmware sawa na hiyo ama version ya juu zaidiunapata network ya aina gani ukieka line? E/G au H/H+/3g ?
pia nimecheki inakubali lte band 1800 hio taablet sio mbaya ukitafuta line ya 4g ya vodacom kama upo dar.
hayo matangazo yanatokea popote tu au hadi ufungue browser?
si kila tatizo ni virusi, umejuaje kama ni virusi?I flash ni virus angalia android version download firmware sawa na hiyo ama version ya juu zaidi
soma vizuri thread yake (read more details about his thread)si kila tatizo ni virusi, umejuaje kama ni virusi?
sijaona kwenye thread kitu kinachoashiria virusisoma vizuri thread yake (read more details about his thread)
Kingine kila ninapofungua internet,inaniletea adds za sex sex tu,hayo matangazo nimeshindwa kwakweli kuyatoa,yapo mengi mpaka naboleka kuitumia kwa ajili ya hiyo mitangazo isiyokua na maana,sijaona kwenye thread kitu kinachoashiria virusi
Virus hao wanaonekana kabisa...flash simu au root na utumie tool za kutoa virus kama joker soft virus remover na akna monkey test virus removerHabari wanajanvi,nina hiyo tab tajwa hapo juu,inaninyima raha kabisa,kwanza internet ipo slow sana kwa upande wa mobile data,lkn nikitumia wi-fi ya ofcn mambo yanakua poa kabisa na speed ya kutosha,nilijaribu kua hard reset lkn mambo bado yale yale.
Kingine kila ninapofungua internet,inaniletea adds za sex sex tu,hayo matangazo nimeshindwa kwakweli kuyatoa,yapo mengi mpaka naboleka kuitumia kwa ajili ya hiyo mitangazo isiyokua na maana,
Kaka toka niinunie sijawai kupata H+ ni 3g tu isiyokua na kasiunapata network ya aina gani ukieka line? E/G au H/H+/3g ?
pia nimecheki inakubali lte band 1800 hio taablet sio mbaya ukitafuta line ya 4g ya vodacom kama upo dar.
hayo matangazo yanatokea popote tu au hadi ufungue browser?
Naomba maelekezo ya kutosha kuhusu kutoa virusVirus hao wanaonekana kabisa...flash simu au root na utumie tool za kutoa virus kama joker soft virus remover na akna monkey test virus remover
yap kama ni kila akifungua browser ndio kuna hizo add inamaana either ni matangazo ya kawaida tu au ni browser hijack hatahitaji kuflash simu wala kuformat atahitaji kutumia adblocker au abadili tu browser atumie operA/ucweb miniKingine kila ninapofungua internet,inaniletea adds za sex sex tu,hayo matangazo nimeshindwa kwakweli kuyatoa,yapo mengi mpaka naboleka kuitumia kwa ajili ya hiyo mitangazo isiyokua na maana,
unatumia mtandao gani? si kila mtandao unakupa speed mahala popote, ushauri wangu nenda voda katengeneze line ya 4g utapata speed kubwa tuKaka toka niinunie sijawai kupata H+ ni 3g tu isiyokua na kasi
Flash kwanza ndio njia rahisi.... Sijajua unasubir nini had sasa hivi.Naomba maelekezo ya kutosha kuhusu kutoa virus
Nipe tools za kuflash mkuuFlash kwanza ndio njia rahisi.... Sijajua unasubir nini had sasa hivi.
Download odin na Samsung drivers kwanzaNipe tools za kuflash mkuu