Adjutis Junior
Senior Member
- Mar 1, 2018
- 118
- 23
Bei 500k? Tuseme wewe ulinunua sh. Ngapi
Hizi simu si ndo izi refurbished?? Sasa ulinunuaje bei? Au ulinunua Duka la samsung na una 1 year warranty?670k afu ina wiki3
Yeah nayoHizi simu si ndo izi refurbished?? Sasa ulinunuaje bei? Au ulinunua Duka la samsung na una 1 year warranty?
Warranty ya Samsung au ya wenye duka bossYeah nayo
Upo wapiChukua 5
Sorr sina simu nyingine ya kupigiaAlafu hii tabia ya kuuza kitu used na kutuwekea picha za ku download ikome kabisa.
Weka picha yake halisi ya hiyo simu yako unayouza.
YeahWarranty ya Samsung au ya wenye duka boss
Alafu hii tabia ya kuuza kitu used na kutuwekea picha za ku download ikome kabisa.
Weka picha yake halisi ya hiyo simu yako unayouza.
Yeah
Ahahahaahahah watu wanasema hivyo.Aisee we jamaa inaonekana mkali sana
Yani ungekua umeniambia mm ningetoa machozi. Iyo (Ukome kabisa) ni balaaAhahahaahahah watu wanasema hivyo.
Ila napenda utani sana.
Take easy brooo
Ok fine I understand u...!!Sorr sina simu nyingine ya kupigia
SawaOk fine I understand u...!!
All the best broo.
Why ????Yani ungekua umeniambia mm ningetoa machozi. Iyo (Ukome kabisa) ni balaa
Why ????
Duu tunatofautina sanaMzee nikikaripiwa Huwa nakua na mawazo sana