John Gelas
Senior Member
- Apr 25, 2012
- 168
- 7
Samsung s5 nauza 300000 bei inapungua ntafute ni kama mpya tuu 0719474102
Samsung s5 nauza 300000 bei inapungua ntafute ni kama mpya tuu 0719474102
umepigwa na wewe unatafuta wakumpiga haya bana
s5, 300000???original???imetumika muda gani mkuu???
ndugu yangu bei yake halisi dukani mara ya mwisho nakumbuka ilikuwa 1.1 mil, lakini sasa kuna moja ya dili ni laki 6 sasa hyo ya laki 3 nimestuka kidogo,nahisi jamaa kapigwa anatafuta nae wa kumpigamkuu bei yake halisi ni kiasi gani?
hahahaaa! imenibidi tu nicheke.. mdau sasa alivyoipamba? duh...ndugu yangu bei yake halisi dukani mara ya mwisho nakumbuka ilikuwa 1.1 mil, lakini sasa kuna moja ya dili ni laki 6 sasa hyo ya laki 3 nimestuka kidogo,nahisi jamaa kapigwa anatafuta nae wa kumpiga
Ina kama wiki tuu ntafute 0719474102s5, 300000???original???imetumika muda gani mkuu???
Hiyo ni S5 Clone la kichina,sema ukweli ndugu ili uiuze,mtu atainunua kutoka na ukweli uliosema,ukileta ujanja ujanja hata anayetafuta za kichina ataogopa,mara ya mwisho kuona Samsung Galaxy S5 ya kichina ilikuwa inauzwa laki mbili kama miezi 8 au 9 iliyopita.
Wee kama una shda nitafutendugu yangu bei yake halisi dukani mara ya mwisho nakumbuka ilikuwa 1.1 mil, lakini sasa kuna moja ya dili ni laki 6 sasa hyo ya laki 3 nimestuka kidogo,nahisi jamaa kapigwa anatafuta nae wa kumpiga
Sio ya kichina elewa kiswail me mwenyew naijua