Clone zinaenda kwa Bei ya 300,000.
Huwezi kuuziwa Dukani Clone kwa Mia8 kisha wakudanganye kuwa ni Original. Mwenye Duka atakuwa hajipendi.
Hizo Clone watu wanapigwa barabarani ukiwa unatembea unaonyeshwa unaambiwa kitu Orijino. Mkishamaliza biashara kila mtu analala mbele. Baadae ndio unaenda kugundua kuwa ilikuwa Clone.