Jeremiah john masunga
Member
- Aug 3, 2016
- 29
- 8
Wakuu naomba mnisaidie nina Samsung Galaxy s4 ilipasuka kioo nikapeleka kwa fundi nikabadilsha kioo na display tatzo limekuja simu haisomi imei number sijui nifanyaje
Sasa itapigaje wakat haisom imei numberKama inapiga achana na ma imei...
Duh wapuuzi wameniingiza mjiniUmepewa simu nyengiwe ww kupasuka kwa simu kioo akusababishi tatizo kama ilo