Samsung Plasma TV 51 inches bei nafuu

Samsung Plasma TV 51 inches bei nafuu

ndaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
347
Reaction score
49
Nauza samsung tv 51 inches series 4 mpya kwa bei ya 1.5m.Karibuni sana.Kwa mawasiliano no ni 0659300000
 
Nauza samsung tv 51 inches series 4 mpya kwa bei ya 1.5m.Karibuni sana.Kwa mawasiliano no ni 0659300000

Ishatumika masaa mangapi??
Maana Ugonjwa wa Plasma gesi yake ikiisha haijazwi, unatupa kule!!
 
Nauza samsung tv 51 inches series 4 mpya kwa bei ya 1.5m.Karibuni sana.Kwa mawasiliano no ni 0659300000

Nitumie picha kwa whassap tufanye biashara namba yangu hii 0655090000
 
Tv yangu nilinunua 2008 mpaka sasa natumia hiyo ,sijasikia kama kuna ges naomba nielimishwe
 
Plasma zinatumia Gas wkt lcd zinatumia liquid (Liquid crystal display)!
lakini hiyo sio gas ya ORYX ama MIHAN, it takes more than 10yrs kuisha!
 
Aisee mi nilinunua tv ya led ile iliyokua inadislay kuwavuta watu dukani, make ndo ilikua origino, zingine za kwenye box zilikua ni toleo la pili na tatu, inamana soon naitupa?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom