Samsung note 9 kama spea

MT255

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Posts
3,729
Reaction score
4,999
Naiuza kama ilivyo
Samsung note 9
Imeanguka Imevunja kioo
Inawaka na ukipigiwa inaita
Tatizo kioo tu
Naiuza kama ilivyo
Mali halali
 
Mnanua simu za kigharama halafu zikiharibika hamna hela za kutengenezea idiot

Wewe umejuaje kakosa hela ya kutengenezea?
What if kama kanunua kali zaidi ya hiyo iliyharibika!?
Hebu tuambie wewe kwani unatumia simu gani bhana ambapo ikiharibika waweza kuitengeneza…!?
 
Wewe umejuaje kakosa hela ya kutengenezea?
What if kama kanunua kali zaidi ya hiyo iliyharibika!?
Hebu tuambie wewe kwani unatumia simu gani bhana ambapo ikiharibika waweza kuitengeneza…!?
LG window x unaifahamu? 3000000 from USA sema jingine
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…