Samsung Note 2 inagoma touch ila S-Pen inakubali

Kasuku26

Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
69
Reaction score
29
Wakuu habari,

Hii simu ni wiki sasa inasumbua touch lakini ukitumia S-Pen inatouch vizuri kabisa.

Mwenye kuelewa anisaidie kama ni ishu za software ama hardware maana nmeshindwa kuelewa.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simu ya 2012 hio mzee baba,itakua imeshachoka.

dodge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…