SAMSUNG NOTE 1

Issuna

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,204
Reaction score
7,648
Bei 150,000

Used but New

Ni toleo lile la kwanza...Ili haribika Kioooo so nimebadilisha baada ya kupata Kiooo ORIGINAL kwenye NOTE 1 nyingine so kioo kilichowekwa ni vilivyokuja na simu sio hivi separate.

Picha ya simu ndani ya kiooo ni Clean kama simu ni mpya kabisa.....Haina tatizo lolote.

KULIKO utumie tecno ya 250 ni mara nne ununue hiii SAMSUNG hutojutia Najua mtafikiri napiga Promo lakini ninachosema ni ukweli Tokea moyoni.

SAMSUNG NOTE 1 one of the BEST kwa wale wapenda simu zenye display KUBWA hiii ndio habari yake.

STORAGE 16GB

LOCATION : DAR ES SALAAM/UBUNGO

CONTACT : weka namba yako kwenye comment Ntakupigia mwenyewe (kwa mhitaji)

RAM 2GB
 

Attachments

  • IMG_20190613_103353.jpg
    156.9 KB · Views: 15
  • IMG_20190613_103415.jpg
    142.7 KB · Views: 17
  • IMG_20190613_103442.jpg
    147.8 KB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ