Mkuu sasa hii ni nini mi nimeinunua Tshs 550,000 ikiwa mpya kabisa ndio maana nauza kwa bei hiyo. sasa wewe unanihalibia biashara tu hapa. nilikuwa najiuliza kila siku kwa nini watu wanapata BAN kumbe kuna watu kama nyie duniani.The same brand tena yenye favorable specifications zaidi ya hiyo (2GB RAM na 1 year warrant) nimeinunua kwa sh. 290,000/= kwenye duka moja lipo floor ya chini katika jengo la J-Mo Building mtaa wa Samora karibu na Clock Tower ya Uhuru.
Dah pole kwa kulanguliwa hiyo,hapo J Mall kweli kuna outlet ya samsung , vitu vyao huuza kwa bei nafuu sana,lakini usikasirike kaka ndio maana ya soko huriaMkuu sasa hii ni nini mi nimeinunua Tshs 550,000 ikiwa mpya kabisa ndio maana nauza kwa bei hiyo. sasa wewe unanihalibia biashara tu hapa. nilikuwa najiuliza kila siku kwa nini watu wanapata BAN kumbe kuna watu kama nyie duniani.
Tatizo kuna watu hawaelewi kabisa mwuzaji ata angesema anauza kwa laki moja kuna watu wangesema wa elfu 70/ bei aliyosema huyu bwana ni reasonable kabisa...laptop yenye sifa alizotaja kwa hapa dubai inauzwa dhs 900 ambazo ni laki 3.6 hivyo anayesema kanunua kwa laki 2 labda ni zile zilizoibwa bandarini...aliye serious atanunua tu kaka bei yako ni nzuri kulingana na sifa za laptop yako...+971504374387
Nimekupm, jibu tufanye biasharaNjoooni mnunue jamani, sio mnaishia tu kuchukua namba za sim